Latest News

LICHA YA KUWA UGENINI, HADI HAL TIME, TOTTENHAM INAONGOZA KWA MABAO 2-0 DHIDI YA CHELSEA Game bado ngumu, Chelsea wako nyuma kwa mabao 2-0 dhidi ya Tottenham. Iwapo Chelsea wakishinda, Leicester City anakuwa bingwa wa England. Mabao hayo mawili yamefungwa na Kane na Son baada ya mabeki wa Chelsea kufanya uzembe mara mbili. Hata hivyo matumaini ya Leicester kuchukua ubingwa “wakiwa wanakunywa kilaji” yanaonekana kutokuwa na nafasi, kwani Spurs wanaonekana kama wanaweza kuibuka na ushindi wa mabao zaidi ya hayo mawili licha ya kuwa ugenini.



Game bado ngumu, Chelsea wako nyuma kwa mabao 2-0 dhidi ya Tottenham. Iwapo Chelsea wakishinda, Leicester City anakuwa bingwa wa England.

Mabao hayo mawili yamefungwa na Kane na Son baada ya mabeki wa Chelsea kufanya uzembe mara mbili.


Hata hivyo matumaini ya Leicester kuchukua ubingwa “wakiwa wanakunywa kilaji” yanaonekana kutokuwa na nafasi, kwani Spurs wanaonekana kama wanaweza kuibuka na ushindi wa mabao zaidi ya hayo mawili licha ya kuwa ugenini

No comments:

Post a Comment

PERUZI24HOURS Designed by Templateism.com Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.