Polisi wawili wauawa katika mlipuko Mogadishu
Maafisa wawili wa Trafiki wameuawa katika mlipuko wa kujitoa muhanga wa gari, uliotokea katika makao makuu ya idara ya trafiki mjini Mogadishu.
Milipuko mikubwa ilisikika katika makao hayo makuu ya Trafiki huko Shangani Mogadishu, na baadaye kufuatia na ufyetuaji risasi.
Wapiganaji wa kundi la al-Shabab wamedai kuhusika.
Katika taarifa yao kundi hilo limedai kwamba shambulio hilo lilipangwa vyema.
Mpiganaji mmoja aliliendesha gari lililokuwa na vilipuzi na mwingine alijaribu kuyavamia makao hayo makuu ya trafiki, lakini alipigwa risasi, Abdifatah Omar Halane, msemaji wa utawala wa mj wa Mogadishu ameliambia AFP.
Mara nyingi Al-Shabab hushambulia maeneo ya jeshi na raia katika kampeni yake ya kuipindua serikali ya Somalia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
THIS FOUND IN TANZANIA

YOUR ADS HERE
Popular Posts
-
UONGOZI wa klabu ya Simba umemwandikia barua mfanyabiashara Mohamed Dewji, ‘Mo’ kutaka kujadiliana naye juu ya nia yake ya kununua hisa ...
-
Msanii Snura Mushi ambaye wimbo wake wa Chura ulipigwa marufuku na serikali ya Tanzania ameomba radhi na kuahidi kutekeleza maagizo ya seri...
-
YANGA jana ilifuzu nusu fainali za michuano ya kombe la Shirikisho, FA kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Prisons katika mechi iliyoch...
-
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imetoa onyo kwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema) kutokana na kutokufika...
-
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Zeben Hernandez amemmwagia sifa mshambuliaji mpya wa timu hiyo raia wa Ghana, Enoch Atta Agyei kutokana na uwezo ...
-
Rais wa Marekani Barack Obama, anakutana na Dalai Lama katika ikulu ya White House kwa mazungumzo ambayo yamesabaisha China kulalamika...
-
DAR ES SALAAM Ofisi ya Taifa Ya Takwimu NBS imesema kuwa mfumuko wa bei wa Taifa Kwa mwezi Ja...
-
Jumatatu ya March 28 timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ilikuwa inajiandaa kushuka dimbani kucheza mchezo wake wa nne wa kuwania ...
-
WATU watatu wamekufa na wengine 30 kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka msibani kugongana na lori linalotengeneza bara...
Side Ad
Blog Archive
-
▼
2016
(222)
-
▼
May
(110)
- HII LEO MBICHI NA MBIVU ZIMEJULIKANA AMBAPO MATOKE...
- Wanafunzi wakifatilia mashindano
- Katika chuo cha uandishi wa abari na utangazaji ...
- FAINALI YA MADARASA MATATU YA UTANGAZAJI BORA KATI...
- HATIMAYE MABINGWA WAPATIKATA KATIKA MASHINDANO YA ...
- VIDEO:SHILOLE FT BARNABA- SAY MY NAME
- VIDEO:ALIKIBA AJE
- KINACHO SUBIRIWA NI MATOKEO TUU MASHINDANO YA UTAN...
- Tajiri wa Aston Villa kuiboresha timu?
- Sevilla watwaa kombe ligi ya Europa
- Rais Maduro kuongeza mamlaka
- Msichana wa Chibok kukutana na Rais Buhari
- Ndege ya Misri yatoweka ikitoka Paris
- VIDEO:ALIKIBA $ AJE NEW SONG
- VIDEO:MR NAY TRUE BOY SAKA HELA
- Bw Trump amesema Bw Bill Clinton alikuwa mbaya zai...
- Mapigano Yemen yaleta uhaba wa Chakula
- 200 wahofiwa kuzikwa ardhini Sri lanka
- Rais wa kampuni ya Mitsubishi kujiuzulu
- Wapiganaji wa Kiislamu wadai 'wamo Tanzania'
- DOWNLOAD--Valtino-Collect--[AUDIO]
- DOWNLOAD--Mayunga Ft Akon - Don't Go Away--[AUDIO]
- VIDEO:SHETA NAMJUA
- VIDEO:BEN POL MOYO MASHINE
- Man U yatinga ligi ya Europa
- TP Mazembe yasonga mbele
- Clinton ajitangaza mshindi mchujo wa Kentucky
- Besigye ashtakiwa kosa la uhaini Uganda
- Trump: Ninaweza kuzungumza na Kim Jong-un
- Uingereza kushinda Euro 2016 ?
- Jedwali la msimamo wa ligi ya EPL 2015/16
- Mikel Arteta kuondoka Arsenal
- Wasiwasi wakumba ndege ya kwenda Manchester
- Waandishi wa BBC watimuliwa Korea Kaskazini
- Alexis Tsipras, ametetea mageuzi ya ulipaji kodi U...
- Katumbi atarajiwa kufika mahakamani DRC
- Polisi wawili wauawa katika mlipuko Mogadishu
- Mshukiwa wa ugaidi akamatwa Bamako
- Jumba la ghorofa laporomoka Mombasa
- EXCLUSIVE: KESSY YANGA DAMU, RASMI LEO ANATUA YANG...
- Liverpool yatinga fainali ya ligi Uropa
- Umoja wa Ulaya ilinde mipaka
- Mkondo wa mafuta washambuliwa Nigeria
- Spika Paul Ryan ampinga Donald Trump
- Syria uhalifu wa kivita waendelea
- Zimbabwe kuanzisha dola kama za Marekani
- Uganda yapiga marufuku matangazo ya moja kwa moja
- Waziri mkuu wa Uturuki kujiuzulu
- Wabunge Kenya kuamua kuhusu uwakilishi wa jinsia
- WACHEZAJI LEICESTER CITY WAULA, MILIONEA AWAZAWADI...
- KUMBUKA FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA MSIMU HUU N...
- NGASA AFANYA MAZOEZI MBALIMBALI
- Mwanamke apatikana hai kwenye vifusi Nairobi
- Amir Khan: Sina nguvu za kumuumiza Alvarez
- Wapenzi wa Jinsia moja wapinga ukaguzi wa 'tupu ya...
- Snura aomba radhi kwa wimbo uliofungiwa Tanzania
- VIDEO:COLORS OF AFRICA MAFIKIZOLO FT DIAMOND
- Chelsea na Tottenham wamepigwa faini
- Manchester City wachapwa na Real Madrid
- Urusi yakamata kundi la kigaidi
- Barack Obama ametembelea mji wa Flint
- Orodha ya vyuo vikuu bora zaidi duniani
- Hali ya hatari yatangazwa Canada
- Katumbi atangaza atawania urais DR Congo
- VIDEO:ALI KIBA FT CHRISTIAN BELLA NAGHARAMIA
- Uteuzi wa Trump wazua uhasama Republican
- Cristiano Ronaldo kukabili Man City Uefa
- Migiro ateuliwa balozi wa Tanzania Uingereza
- Mmiliki wa jumba lililoporomoka aachiliwa Kenya
- Bangi kuwatibu wagonjwa Ujerumani
- Justin Bieber ashtakiwa kwa kuvunja simu
- Rayon Sports wazidisha matumaini Rwanda
- Watu 60,000 watakiwa kuhama mji Canada
- Rais wa zamani wa Burundi Bagaza afariki dunia
- Apple yapoteza nembo yake ya biashara China
- VIDEO: RUBY FOREVER
- VIDEO:MAHABA NIUE MAUA SAM
- VIDEO:PHD IMEBAKI STORY
- Shuhudia Goli La Antoine Griezmann Bayern Munich v...
- Ranieri: Vilabu tajiri kutawala ligi ya Uingereza
- Andy Murray aanza vyema Madrid Open
- Polisi Kenya wagundua njama za ugaidi
- Lula da Silva ashutumiwa kwa ufisadi
- Waliofariki mkasa wa jengo Nairobi waongezeka
- Rais wa zamani wa Burundi Bagaza afariki dunia
- Cruz ajitoa mbio za urais Republican
- Ted Cruz ajitoa kwenye kinyang'anyiro Marekani
- VIDEO:YA AKA $ DIAMOND PLATNUM MAKE ME SING
- VIDEO:YA RAYMOND KWETU
- Chapisho la Facebook lazua hisia za ubaguzi SA
- NDIYO RUSHWA IPO KATIKA SOKA, MSITAKE KUFICHA, MSI...
- Wanafunzi wapokea kompyuta Kenya
- Mambo 10 ya ajabu yaliyozidi Leicester kushinda EPL
- Leicester City kupata $200m kwa ushindi EPL
- Jedwali la msimamo wa ligi ya EPL
- Polisi wa China kupiga doria Italia
- Ugaidi: Shambulizi la kimeta latibuka Kenya
-
▼
May
(110)
No comments:
Post a Comment