Latest News

HATIMAYE MABINGWA WAPATIKATA KATIKA MASHINDANO YA UTANGAZAJI ARUSHA AJTC} NI DARASA LA NGORONGORO NDIO WASHINDI WA KWANZA

Hatimaye   darasa la Ngorongoro limeibuka kidedea katika mashindano  ya utangazaji 
katika chuo cha uandishi habari na utangazaji Arusha mashindano yaliyochukua 
takribani siku tano.

























Darasa hilo baada ya kuingia fainali hiyo jana kati ya madasa 13ambapo leo hii limejishindia 
kombe pamoja na pesa tasiilimu shilling laki moja na nusu huku likifatiwa na darsa la Kilimanjaro 
nafsi ya pili wakijishindia laki moja  darasa la serengeti limeshikili nafsi ya tatu na kupewa 
zawdi shilling elf sabini huku baadhi ya wanafunzi walio 
Meneja wa MJ redio Emmanuel Msingwa akizungumza na wanafunzi wa chuo cha uandishi wa
habari na utangazaji Arusha AJTC .....katikakati.... na Mkurugenzi wa chuo hicho
Joseph Mayagila....... kulia....pamoja na mkufunzi wa chuo Kephas Ilani
                                            
Hata hivyo mkuu wa chuo hicho bw Joseph Mayagila amewapongeza wanafunzi 
wote walioshiriki na kuwataka wasibweteke bali waendelee kujituma ili wafanye vizuri 


katika mashindano mengine yatakayojitokeza
Kwa upande wake mkuu wa wa kitengo hicho Bw Onesmo Elia Mbise  amesma mashindano 
hayo yamendeshwa kwa haki na usawa na majaji wamefuata kanuni zote za uhakiki 
wa vipindi lakini akiwataka wanafunzi wote kuongeza juhudi na kuiga vile 
vyote vizuri walivyoviona katika vipindi mbali mbali


Mashindano hayo ambayo ni ya  tisa kufanyika chuoni yamekamilika hii leo
 huku wanafunzi wakionyesha mwitikio na ushindani mkubwa tofauti na miika mingine




Mmoja wa wanafunzi wa Darasa la Ngorongoro lililo jinyakulia ubingwa wa mashindano 2016,NEEMA NNKO
Pamoja na mwanafunzi mwenzake wa darasa la Kilimanjaro lililoshika nafasi ya pili,KELVIN NOVAT



Darasa la Ngorongoro lililoibuka kidedea kwenye mashindano ya Utangazaji
 Ndani ya AJTC Wakifurahia ushindi wao.[[[

No comments:

Post a Comment

PERUZI24HOURS Designed by Templateism.com Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.