Latest News

Wanafunzi wakifatilia mashindano

Wanafunzi wa AJTC wakiwa kwenye Ukumbi wa Chuo hicho wakisikiliza vipindi kutoka studio za 96.6 AJT FM                                                                                                                                                        
Wanafunzi wa AJTC wakiwa wanasubiria matokeo ya mashindano ya utangazaji yaliyokamilika ivi punde.Ambapo madarasa matano pekee ndiyo yaliyofanikiwa kuingia atua ya nusu fainali ambayo ni darasa la Ngorongoro,Manyara,Serengeti,Kilimanjaro pamoja a darasa la Natroni

No comments:

Post a Comment

PERUZI24HOURS Designed by Templateism.com Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.