Latest News

Katika chuo cha uandishi wa abari na utangazaji Arusha

  MOJA YA MWANAFUNZI WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI AJTC AKIWASILISHA KIPINDI 

 
HII leo mashindano ya utangazaji katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha yameendelea tena kwa wanafunzi kuwasilisha vipindi mbalimbali kwa ustadi wa hali ya juu,ambavyo vipindi ivyo ni pamoja na taarifa ya habari,michezo,burudani pamoja na kipindi maalumu.Mashindano ayo yatafikia tamati siku yaijumaa ya taree ya 27 ya mwezi wa tano mwaka 2016.

No comments:

Post a Comment

PERUZI24HOURS Designed by Templateism.com Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.