Latest News

HII LEO MBICHI NA MBIVU ZIMEJULIKANA AMBAPO MATOKEO RASMI YAMETOLEWA KATIKA UKUMBI WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA

Baadhi ya majaji katika mashindano hayo.Picha na clemence karani

Wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha (AJTC) Wameendelea na mashindano ya utangazaji katika chuo hicho ambapo hii leo matokeo yametajwa ambapo madarasa matano yamefanikiwa kuingia fainali na hatimaye siku ya kesho ijumaa ya taree 27 kujulikana mshindi katika mashindano ayo.

No comments:

Post a Comment

PERUZI24HOURS Designed by Templateism.com Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.