Latest News

Ted Cruz ajitoa kwenye kinyang'anyiro Marekani

Seneta wa jimbo la Texas Ted Cruz amejiondoa katika kinyang'anyiro cha uteuzi kugombea nafasi ya urais wa Marekani kupitia chama cha Republican.
Alitoa tangazo lake punde tu baada ya kupoteza kura katika kampeni za mwisho Indiana.
Cruz amewaambia wafuasi wake kuwa alifanya kila analoweza katika kampeni zake,lakini hakukuwa na njia ya yeye kuweza kusonga mbele zaidi.
Mwandishi wa BBC aliyepo katika vituo vya kupigia kura Indiana amesema wafuasi wa Cruz wamestushwa na kukatishwa tamaa.
TrumpImage copyrightReuters
Image captionTrump ana nafasi nzuri ya kushinda uteuzi
Tangazo hilo linatoa mwanya kwa Donald Trump kupata uteuzi wa chama chake cha Republican

No comments:

Post a Comment

PERUZI24HOURS Designed by Templateism.com Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.