Latest News

KINACHO SUBIRIWA NI MATOKEO TUU MASHINDANO YA UTANGAZAJI A.J.T.C


Jopo la Majaji wakiwa kwenye mchakato wa kuyapata Madarasa MATANO yaliyofanya vizuri kati ya 13 Yaliyoshiriki Tangu Mashindano ya Utangazaji Yalipoanza Siku ya Jumatatu wiki hii katika chuo cha Uandishi wa habari na Utangazaji Arusha AJTC
Washindi watano katika mchujo huo watafanya Vipindi vyao kesho ili kumpata mshindi wa kwanza hadi wa Tano.. Zaadi zitatolewa kesho baada ya Washindi kupatikana
SASA TUWASUBIRI MAJAJI KUPATA MATOKEO

No comments:

Post a Comment

PERUZI24HOURS Designed by Templateism.com Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.