mchanga ni mali asili ambayo ni muhmu sana kwa ujenzi |
mchanga huo huchanganywa vyema kwa cmenti kwa ajili ya matofali |
baada ya kuchanganywa vyema kwa cment na maji huwekwa katika mashine maalumu za kufyatua tofali |
huyu ni mama mjasiriamaili akiwa katika ukaguzi wa shughuli ya utengenezaji wa matofali |
baada ya mchakato huo tofali imara hupatikana tayari kwa matumizi ya ujenzi |
shuhuli zote hizi hufanywa na vijana kama sehemu ya ajira katika maisha yao ya kila siku |
No comments:
Post a Comment