Malinzi awafunda vijana wa ARS
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Jamal Malinzi amewataka vijana kujituma ili kutimiza ndoto zao. Malinzi aliyasema hayo kwenye ...
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Jamal Malinzi amewataka vijana kujituma ili kutimiza ndoto zao. Malinzi aliyasema hayo kwenye ...
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans-van-der-Pluijm amesema mtihani mkubwa unaomkabili kwenye ligi ya msimu huu ni kusajili kiungo mkabaji kutoka n...
KWA maamuzi yoyote yatakayoamuliwa leo kwenye Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Simba juu ya kuuza hisa za klabu hiyo kwa mfanyabiashara bili...
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya taifa, Taifa Stars, Charles Mkwasa ameahirisha kambi ya timu hiyo iliyokuwa ianze Dar es Salaam kesho. T...
MTUHUMIWA wa ujambazi Msafiri Suleiman maarufu kama Juma Msukuma ameuawa wakati akijaribu kuwatoroka Polisi. Kamanda wa Polisi wa Mkoa...
SERIKALI itahakikisha inalipa deni la Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) katika Bohari Kuu ya Dawa (MSD) ili wagonjwa wapate dawa ...
Simba imeahidi itawatangaza wachezaji wake wapya na kuwashangaza mashabiki wake siku ya Tamasha la Simba Day. Tamasha la Simba Day li...
Kesho ndiyo siku Wanasimba watapata majibu kuhusiana na suala la bilionea Mohammed Dewji na klabu hiyo. Dewji maarufu kama Mo, a...
Kiungo cha kati wa Manchester City Samir Nasri amepigwa marufuku kushiriki mazoezi ya pamoja baada ya kuongeza uzani kupindukia. Kocha...
KOCHA msaidizi wa Simba, Jackson Mayanja amewapa pole wapinzani wao Yanga kutokana na matokeo mabaya wanayoyapata kwenye michuano ya Kom...
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Simba, Mcameroon Joseph Omog amesema kikosi kamili cha wachezaji kitakachoingia kwenye ushindani wa kut...
CHRISTINA Mnyira (89) mkazi wa Patandi wilayani Arumeru mkoani Arusha amekutwa amekufa baada ya kubakwa na kunyongwa shingo. Mnyira al...
CHUO Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT), kimetoa ufafanuzi wa taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa vyuo vyake vishiri...
JAJI wa Mahakama Kuu, Kanda ya Iringa, Dk Paulo Kihwelo amesema mahakama ni mahali pa sheria na wala si pa kusikiliza maoni ya watu waka...
JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani nchini kwa kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA)...
Watu 19 wameuawa na wengine 26 kujeruhiwa baada ya kuchomwa kisu katika kituo cha kutunza watu wenye ulemavu Magharibi mwa Mji mkuu wa J...
KOCHA wa timu ya taifa ya Judo, Zaidi Hamisi amesema kuwa, licha ya ugumu wa Michezo ya Olimpiki, mchezaji wake atafanya kitu katika michez...
MABONDIA 12 wa Tanzania wanatarajiwa kupanda ulingo mmoja katika pambano la ngumi kuwania mkanda wa TPBC litalalofanyika kwenye Uwanja wa N...
TIMU ya Azam FC inatarajiwa kuondoka leo kwenda Zanzibar kwa ajili ya kambi ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakao...
KIKOSI cha watu 30 cha Yanga kimetua salama katika mji wa Sekondi - Takoradi, Ghana kikiwa na siri nzito juu ya mikakati ya kuwadhibiti ...
AMIRI Jeshi Mkuu, Rais John Magufuli atakuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa Kitaifa, yatakayofanyika mjini hapa leo....
INAELEZWA kuwa tatizo la uhaba wa sukari kwa mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Manyara, Tanga na Singida, limekwisha baada ya Kiwanda cha ku...
WAKATI Serikali imezuia baadhi ya vyuo vya elimu ya juu kudahili wanafunzi kwa mwaka wa masomo wa 2016/2017, kasoro zilizosababisha zuio...
Malipo ya juu kabisa katika historia ya mchezo wa tennis yanatarajiwa kutolewa katika michuano ya wazi ya tennisi ya Marekani mwaka huu....
Shirika la Amnesty International imezituhumu Mamlaka nchini Misri kuhusika na kupotea kwa watu, kwa lengo la kutishia upinzani. Katika...
Rais Barack Obama amewasihi Wamarekani kuacha kukata tamaa kutokana na wasiwasi wa kibaguzi uliojitokeza. Akizungumza wakati wa misa y...