Wapiganaji tisa wanaoungwa mkono na
Umoja wa Mataifa nchini Libya wameuawa na wengine 50 kujeruhiwa katika
makabiliano ya kusambaratisha kundi la Islamic state kutoka kwa ngome
yake ya Sirte, msemaji wa hospitali amesema, nashirika la habari la
Associated Press kuripoti.
Sirte ni eneo ambalo aliyekuwa kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi alizaliwa kabla ya kuuawa na jeshi la muungano wa NATO mwaka 2011.
No comments:
Post a Comment