Rais wa Marekani Barack Obama,
anakutana na Dalai Lama katika ikulu ya White House kwa mazungumzo
ambayo yamesabaisha China kulalamika.
Maafisa wa Marekani wamezuia waandishi wa habari kuhudhuria mkutano huo katika jitihada kudumisha uhusiano wa kidiplomasia na China.
No comments:
Post a Comment