Mwanamme mmoja wa umri wa makamu,
anatibiwa katika hospitali moja nchini Pakistan baada ya kuchomwa kwa
tindi kali iliyomsababishia majeraha ya asilimia hamsini.
Familia ya mwanamme huyo, inasema mwanamke alikasirika baada ya mwanamme huyo kukataa kumuoa licha ya wao kuwa na uhusiano.
Mashambulizi ya kutumia tindi kali ni mengi dhidi ya wanawake nchini Pakistan lakini sio rahisi kuendeshwa dhidi ya wanaume.
No comments:
Post a Comment