Wadhamini nchini Nigeria wanaogopa
kuzifadhili timu za soka za wanawake kutokana na dhana potovu kwamba
timu hizo hufananishwa na 'wapenzi wa jinsia moja' kiongozi mkuu wa
shirikisho la soka nchini Nigeria amesema.
Timu hiyo kwa jina The Super Falcons ni timu kutoka Afrika yenye mafanikio ya kitaifa. Uhusiano wa wapenzi wa jinsia moja ulipigwa marufuku nchini Nigeria.
Nigeria ni nchi ambayo isiyopenda mabadiliko ,wapenzi wa jinsia moja hulalamikia kubaguliwa.
Naibu wa rais wa shirikisho la soka la Nigeria (NFF) Bwana Akinwunmi, amenukuliwa akisema 'wapenzi wa jinsia moja huuwa timu.
No comments:
Post a Comment